Kama ilivyotokea kwa msanii nyota wa kike wa bongo fleva, Rehema
Chalamira 'Ray C' kuingizwa katika matumizi ya dawa ya kulevya na mtu
ambaye alitokea kumwamini sana, ndivyo ilivyotokea sasa kwa msanii
anayefuata nyendo zake,Winfrida Josephat 'Rachel' ambapo anadaiwa
kuvutishwa unga bila kujua....
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu na msanii huyo,Rachel amewekewa
dawa hizo kupitia kwenye bangi na wakati mwingine kwenye sigara hivyo
inakuwa vigumu kubaini hila iliyofanyika....
Habari ambazo tumezipata zinadai kwamba msanii wa kiume nyota wa bongo
fleva ambaye amewahi kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya ndiye
anayemtengenezea kokuteli hiyo inayotarajiwa kumwangamiza siku za
usoni....
0 comments:
Post a Comment