Picha ni Wanajeshi wa JWTZ na waandishi wakiwa sehemu ya tukio jijini Arusha
Polisi wakisaidiana na wanajeshi wa JWTZ waiwa sehemu ya tukio jijini Arusha
Mmoja wa majeruhi wa bomu Arusha akiwa Hospitalini.
Mlipuko mwningine wa bomu uliotokea Lamu nchini Kenya siku ya
Jumanne July 8, 2014 bado haijajulikana kama kuna uhusiano wa hiyo
milipuko Kenya na Tanzania mpaka sasa hivi hakuna kikundi chochote
kilichadai kuhusika na milipuko hiyo na watu wawili wanashikiliwa na
polisi jijini Arusha.
Picha na AFP
0 comments:
Post a Comment