Ni mapenzi kwa timu ya nchi yake je Tanzania yupo mtu anaweza kulia hivi baada ya timu ya taifa kufungwa?.
Huyu jamaa alikuwa na hasira hadi aliigeuza jersey ya Brazil sambusa.
| Kila aliekuwepo uwanjani hapo alikuwa na style yake ya kuonyesha jinsi gani ameguswa na matokeo ya mchezo wa Brazil na Germany. |
0 comments:
Post a Comment