Marehemu Focus Maturlu enzi ya uhai wake.
Ndugu, Jamaa na amarafiki wakijumuika pamoja katika kumsindikiza
marehemu Focus Maturlu kwenye safari yake ya mwisho mjini Singinda siku
ya Jumanne July 8, 2014 marehemu alizikwa katika makaburi ya masai
yaliyopo Singida Mjini.
Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja kwenye mazishi ya
marehemu Focus Maturlu aliyezikwa siku ya Jumanne July 8, 2014 katika
makaburi ya Masai yaliyopo Mjini Singida.
Ngugu, Jamaa na marafiki wakittoa heshima za mwisho kwa marehemu
Focus Maturlu aliyefariki July 5, 2014 jijini Dar es Salaam na kuzikwa
Jumanne July 8, 2014 katika makaburi ya masai mjini Singida. Kwa picha
zaidi bofya soma zaidi
0 comments:
Post a Comment