Meya wa zamani wa jimbo la New Orleans Ray Nagin akiwa amezukwa na
waandishi wa habari siku ya Jumatano alipofika mahahakami kusikiliza
hukumu yake alipohukumia kwenda jela miaka 10 kwa ufujaji wa fedha za
umma wakati wananchi wakiangaika na mafuriko ya Katrina.
Home
»
»Unlabelled
» MEYA MSTAAFU WA NEW ORLEANS AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 10 JELA KWA KUFUJA FEDHA YA UMMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment