Ndugu Wanajumuiya,


Mkutano wa Wanajumuiya wote utafanyika Jumamosi, tarehe 2 Agosti 2014 kwenye Jengo la Ubalozi address hii

30 Overhill Rd, Mount Vernon, NY 10552

(Pale pale tulipofanyia uchaguzi mwaka jana, 2013), kuanzia saa nane mchana hadi saa moja jioni.

Mkutano utajadili maendeleo ya Jumuiya, tulipotoka na tunakoelekea. Taarifa zaidi mtapewa katikati ya mwezi wa saba, 2014.
Tunawaomba wote mkumbuke tarehe hii na “please, save this date for our community meeting”.

Ukipata taarifa hizi tunaomba umwambie mwenzako. Na tunawaomba wote mje kwa wingi tarehe 2 Agosti 2014 kwenye mkutano wa Jumuiya yetu.


Kutakuwepo na vinywaji na refreshments.

Asanteni, na kwa niaba ya viongozi wote,

Katibu,
Deogratius Mhella.
New York Tanzanian Community

0 comments:

Post a Comment

 
Top