Ny Ebra Vijimambo NY akifunguliwa POP leo alipokuwa Hospital jimbo la New York na kufungwa dogo huku akiambiwa aanze kuufanyia mazoezi mguu alioumia May 24, 2014 siku DMV na New York walipokipiga DC na DMV kuibuka na ushindi wa bao  5-0.
Ny Ebra akifanyiwa ukarabati wa mguu wake alipokuwa Hospitali mapema leo New York.
Diamond Platnumz akisaini kwenye POP la Ebra siku ya Jumapili June 1, 2014 siku Ubalozi wa Tanzania UN walipomfanyia nyama choma Diamond Platnumz mwingine ni DMK maneger tour wa Diamond.

0 comments:

Post a Comment

 
Top