Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM) mkoa wa Arusha Catherine Magige akiwajulia hali baadhi ya majeruhi nane wa mlipuko wa bomu uliotokea usiku wa kuamkia jana katika mgahawa wa Vama Traditinal Indian Culture jijini Arusha.
Vijimambo ilipata nafasi ya kuongea na Mhe. Catherine Magige kutoka Arusha na hivi ndivyo alivyosema kuhusiana na mlipuko huo wa mabomu.

0 comments:

Post a Comment

 
Top